Mahakama nchini misri imewahukumu jela miaka saba wandishi watatu wa habari katika shirika la habari la Al Jazeera kwa kosa la kueneza habari za kupotosha.
walipatika na hatia ya kueneza habari za kupotosha na kushilikiana na kundi la wapiganaji wa kiislamu la muslim Brotherhood .
mmoja wa wandishi hao ni Peter Greste,Raia wa Australia na ambaye pia alikuwa mwandishi wa habari wa BBC wakati mmoja
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment