Shilole Akana Kusafirisha Madawa ya Kulevya nje ya Nchi..Adai Anashawishiwa Kufanya Hivyo Lakini


Shilole amekanusha kujihusisha na kusafirisha madawa ya kulevya katika safari zake za nje lakini amekiri kuwahi kushawishiwa kufanya hivyo.

Muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa alikataa mtego huo kwakuwa hakupenda kuhatarisha maisha yake.

Kiukweli ushawishi upo niache kusema uongo lakini kwa sababu binafsi na akili zangu timamu na najua nini nafanya basi huwa naweka tamaa pembeni na kuangalia kitu ambacho kina mwendelezo na maisha yangu,” alisema.

Nikiwaangalia watu halafu nikiangalia mpenzi wangu ninavyompenda nimwache hivi hivi, roho inauma pamoja na watoto wangu, nawapenda sana. Halafu wananipa matumaini kwa sababu wana akili sana shuleni,” alisisitiza.

from Blogger http://ift.tt/1RMftNA
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment