
katika hotuba kupitia Televisheni jumanne Rais Kenyatta alisema "operashini imefika kikomo



Wengi pia walisubili kwa hamu na gamu kujua hali za wapendwa wao waliokuwa wamenaswa katika jengo hilo.
Hakuna hata mtu mmoja alithubutu kupuuza ukubwa wa shambulizi hilo hasa kwa kuwa shambulizi lenyewe lilifanywa na kundi la magaidi waliokuwa wamejiami vikali na kutotaka kushauliana na magaidi hao ambao lengo lao lilikuwa kuwauwa watu wengi iwezekanavyo.
0 maoni:
Post a Comment