
Wasifu wa Kansela Angela Merkel Wasifu wa Peer Steinbruck,mpinzani


kutokuwa kwake mtu wa papara katika mtaalamu wa fedha
kutoa maamuzi. yeye anaamini atashinda.
Mhariri wa gazeti la Volksstimme la mjini Mag-denbug anazungumzia kuwa kwa muda mrefu kampeni za uchaguzi nchini ujerumani zimekuwa azina msisimko. mhariri ana eleza
sasa kampeni hizo ziko katika hali ya kusinzia
Siraha za sumu

Katika harakati kubwa tangu kuanguka kwa mataifa ya mkataba wa Warsaw,Rais Putin wa Urusi anataka kuonyesha mataifa ya magharibi mambo mawili kwanza:kuwa majeshi yake yanaweza kutunisha misuli tena,kitu ambacho kiongozi uyo wa taifa anakitamani sana.

0 maoni:
Post a Comment