Hata hivyo milipuko pamoja na milio ya risasi imesikika kutoka kwa jengo hilo asubuhi ya leo huku duru zikisema kuwa vikosi vimeelekea kukamilisha opereshini hiyo vikosi vya kenya vinasema viko katika hatua ya mwisho kukomboa jengo la Westgate na kuwa magaidi 9 wameuwawa. wazima moto walilazximika kufika katika jumba hilo baada ya magaidi kuwasha moto
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment