Takribani wahamiaji 130 wa kiafrika wamefariki na wengine wengi awajulikani waliko baada ya boti iliyokuwa inawabeba kuelekea ulaya kuzama katika pwani ya Utaliana
Maafisa katika kisiwa kikubwa cha sicily katika bahari ya Meditarenia wanasema kuwa wamepata maiti 130 baada ya mashua iliokuwa imewabeba Takribani wahamiaji 500 wa kiafrika kushika moto na kuzama kisiwa cha Lampedusa.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment