
MAREKANI:AL-LIBY ALIKAMATWA KIALALI LIBYA.
Marekani imesema kuwa hatua ya makomandoo wake kumkamata mshukiwa wa ugaidi Abu Anas Al Libi haijakiuka sheria .
Abu Anas Al Libi,anadaiwa kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Al-Qaeda na amekuwa akisakwa kwa kuhusika na mashambulizi ya kigaidi dhidi ya balozi za marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998.

0 maoni:
Post a Comment