Ravel Morrison ndiye aliye funga bao la 3 na la ushindi kwa timu ya west ham ilipoiadhibu Tottenham 3-0
Hakuna mtu aliye tarajia kwamba Tottenham wangechapwa namna hilivyo sasa hasa kwa kuzingatia kuwa ndivyo ilivyo vunja rekodi ya pesa nyingi za kuwanunua wachezaji wapya
0 maoni:
Post a Comment