Chris Brown ameingia tena matatizoni baada ya kumzingua shabiki wa kike anaedaiwa kumrukia na kumjaribu kumkiss mbele ya mrembo wake Karrueche tran katika Club moja ya usiku
Kwa mujibu wa TMZ mwimbaji huyo wa "loyal" aliyekuwa na onesho katika club hiyo huko Taxs badala ya kuwaacha walinzi wake wamshugulikie msichana huyo kwa hasira alimsukuma vibaya
vyanzo vimeeleza Hollywoodlife kuwa mama mzazi wa Chris Brown na mpenzi wake wamekuwa na hofu kubwa kufuatia matatizo mfululizo yanayo mtokea mwimbaji huyo
Chris Brown alishauliwa hivi karibuni kutojiingiza katika matatizo baada ya kutoka jera hivi karibuni aliko tumikia kifungo cha siku 108 kwa kosa la kuvunja masharti ya kipindi cha matazamio
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment