Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba,
Kapteni John Komba, Bungeni mjini Dodoma Septemba 29, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Fahmi Dovutwa
wakiteta, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 29, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Ameir kificho (kushoto) na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakiteta, Bungeni mjini
Dodoma Septemba 29, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Lazaro Nyarandu (kushoto) na Mwigulu Mchemba
wakiteta, bungeni Mjini Dodoma Septemba 29, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma Septembe 29, 2014.
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta akifafanua kuhusu namna
wajumbe wa Bunge hilo watakavyopiga kura, bungeni mjini Dodoma Septemba
29, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Sheikh Hamid Masoud Jongo akichangia, Bungeni mjini Dodoma, Septemba 29, 2014.
Askofu
Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Anglikani nchini na Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba, Donald Mtetmela akichangia Bungeni mjini Dodoma Septemba 29,
2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Bernard Membe
wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 29, 2014. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 maoni:
Post a Comment