Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula
akionyesha fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika
Oktoba 26 baada ya kuzindua usajili wa washiriki wa mashindano ya Rock City
Marathon jijini Mwanza, jana
Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akiongea muda mfupi kabla ya kuzindua usajili wa washiriki wa mashindano ya Rock City Marathon jijini Mwanza jana ambapo alichukua fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika Oktoba 26.
Mratibu wa mashindano ya mbio za Rock City Marathon 2014, Mathew Kasonta, akiongea wakati wa uzinduzi wa usajili wa washiriki wa mashindano hayo jijini Mwanza jana ambapo Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula, alichukua fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika Oktoba 26.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Riadha mkoa wa Mwanza, Charles Kimune, akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula, kuzindua usajili wa washiriki wa mashindano hayo jijini Mwanza jana ambapo Mabula alichukua fomu ya kujisajili kushiriki mbio za kilomita tano zitakazofanyika Oktoba 26.

Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula amekuwa
mtu wa kwanza kujisajili Kanda ya Ziwa kushiriki mbio za Rock City Marathon,
huku akiwataka viongozi kuhakikisha wanafufua mchezo huo ili kuurejesha kwenye
hadhi yake kimataifa.
0 maoni:
Post a Comment