Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia), akiwa na Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay wakati wakiingia katika ukumbi
wa mikutano wa Hoteli ya serena jijini Dar es Salaam kuzungumzia Wiki ya
Wateja wa Benki hiyo itakayoanza Oktoba 6-11.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), akiingia
katika mkutano huo akiongozana na maofisa wa Benki hiyo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (katikati) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei muda mfupi kabla ya kuanza mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa jkatika mkutano huo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (katikati) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei muda mfupi kabla ya kuanza mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa jkatika mkutano huo.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki hiyo.
Baadhi ya Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo. Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia), Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kulia) akiwa na maofisa wa Benki hiyo kabla ya kuanza kwa mkutano.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei kuzungumza na waandishi wa habari kjuhusu Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.
Mkurugenzi
wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya wiki ya Wateja wa Benki ya
CRDB itakayoanza Oktoba 6-11.
Na Mwandishi Wetu
WATANZANIA wametakiwa kutumia huduma za kibenki katika kukuza na kujiongezea uchumi wa maisha yao.
Rai
hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
CRDB, Dk. Charles Kimei katika mkutano wake na waandishi wa habari
kuhusu wiki ya wateja wa benki hiyo itakayoanza Oktob 6,hadi 11,mwaka
huu.
Alisema wiki hiyo ni maalum kwa ajili ya kusikiliza kero mbalimbali za wateja ikiwemo kuwashukuru kwa mchango wao mkubwa.
"Azma
kubwa ya maazimisho hayo ni kuwasikiliza wateja na kutimiza mahitaji
yao kwa wakati ...lengo la CRDB ni kuboresha na kuinua uchumi wa kila
mtanzania kupitia mikopo, kutunza na kukuza amana pamoja na kutoa ajira
kwa vijana na misaada kwa jamii"alisema Dk. Kimei.
Akifafanua
zaidi alisema kwa kutambua umuhimu na mchango mkubwa wa watanzania kwa
CRDB, wanatumia wiki hiyo kutoa huduma bora na kusikiliza kero zao.
0 maoni:
Post a Comment