Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewasili katika uwanja wa ndege
wa
Schiphol mjini Amstedam leo siku moja kabla kuanza kikao
maalumu katika mahakama ya kimatiafa ya uhalifu ya ICC mjini The
Hague kitakachotathmini tarehe kesi yake itakapoanza. Msemaji wa
rais Kenyatta, Manoah Esipisu, amethibitha kiongozi amewasili
nchini Uholanzi muda mfupi baada ya kumi kamili saa za Ulaya ya
Kati. Kenyatta atakayekuwa rais wa kwanza aliye madarakani kufika
katika mahakama ya ICC, alikabidhi maraka kwa muda kwa
makamuw ake
William Ruto hapo jana kabla kuondoka jijini
Nairobi
mapema leo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment