Taswira za Msiba nyumbani kwa Filikunjombe, Mbagala Kijichi-Dar

Mke wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe. 

Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe Mbagala Kijichi, Dar es Salaam.Filikunjombe akiwaaga wananchi wake.
Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.
PICHA: DENIS MTIMA/GPL NA MTANDAO

from Blogger http://ift.tt/1RfATlz
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment