HIZI NDIZO NYIMBO KUMI BORA ZA MUZIKI WA INJILI ZILIZOFANYA VIZURI MWEZI WA KUMI NA MOJA 2016.TUKUTANE 99.3 GMCL FM

KUMI BORA


Kupitia tovuti ya JICHOPEMBUZI hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi wa kumi na moja mwaka 2016, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua mara baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata tiketi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO (GOSPO AWARDS) 2016 zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2017.
1. Judith Mbilinyi-Wewe Uko Hapa 
2. New Jerusalem Brothers-Kuliko Jana
3. Dona Feat Hycomakael-Mungu Ni Pendo
4. Beatrice Kitauli feat Rose Muhando-Kesho
5. Lilian Naman Ngowi-Mataifa Yote
6. Ritha Komba-Uniongoze
7. Ikupa Mwambenja-Nitakaa Kwako
8. Salome Msungu-Nakupenda
9. Beda Andrew – Heri
10. Boanerge-Upendo
_ _
Uongozi na timu kazi ya JICHOPEMBUZI inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi wa kumi na moja 2016, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote waliowezesha nyimbo za waimbaji hawa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa kuendelea kuzisikiliza na kuzipakua… Barikiwa sana.!!
.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment