Rais wa Ufilipino kupiga marufuku kamari za mtandaoni




Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte ametangaza Alhamis hii kuwa atapiga marufuku kamari za mtandaoni nchini mwake.

Duterte alitoa tangazo hilo wakati akitangaza bajeti ya mwaka 2017. Hakusema muda ambao marufuku huyo itaanza.

Katazo hilo litakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa makampuni mengi yaliyowekeza kwenye biashara hiyo ya kamari kwa uwekezaji wa mabilioni ya dola.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment