Shilole ni mwigizaji/msanii wa bongofleva ambaye alitangaza
wazi kutafuta Mwalimu wa Kiingereza sababu anatamani siku moja awe
mzungumzaji mzuri wa lugha hiyo, pamoja na kupenda kujifunza huwa haoni
noma pia kukizungumza kilekile kinachomtoka, tazama kwenye hii video
hapa chini
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment