Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mhandisi Felchesmi Mramba
Akiwa
mkoani Kagera leo Rais Magufuli alisikika akisema kuwa haiwezekani mtu
mmoja kutokana na nafasi yake afanye maamuzi ya kupandisha umeme huku
akitambua kuwa kufanya hivyo ni kuwaumiza watanzania na kuahidi
kuendelea kuwatumbua wafanyakazi wa Serikali ambao ni majipu.
Kwa mwaka 2017 Mkurugenzi wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba anakuwa mfanyakazi wa kwanza kutumbuliwa na Rais John Pombe Magufuli
Kwa mwaka 2017 Mkurugenzi wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba anakuwa mfanyakazi wa kwanza kutumbuliwa na Rais John Pombe Magufuli
0 maoni:
Post a Comment