Huyu Ndiye Trump Bana..Amtumbua Jipu mshauri Wake wa Karibu Baada ya Kuukosoa Utawala Wake Hadharani..!!!

Mshauri mkuu wa baraza la usalama la taifa la Marekani, amerudishwa kwenye kazi yake ya awali baada ya kukosoa sera za utawala wa Donald Trump zinazohusiana na Latin America.
Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Sarah Sanders, amesema Craig Deare ameondolewa kwenye nafasi hiyo. Deare alidaiwa kuponda jinsi uongozi wa Trump unavyoshughulika na masuala ya Latin America alipokuwa akizungumza huko Washington.
Hii si mara ya kwanza kiongozi wa juu anatumuliwa kwa kumkosoa Trump.

from Blogger http://ift.tt/2m3Zjpy
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment