Familia ya Kifalme ya
Qatar imedaiwa kununua jumba la tatu la kifahari katika Jiji la
New York, Marekani ambalo litakuwa linatumika kwa ajili ya kuishi watumishi wa familia hiyo.
Jumba hilo limenunuliwa kutoka kwa muasisi wa
Island Capital Group, Billionaire
Andrew Farkas, kwa mujibu wa
Curbed ambapo
Qatar ililipa
Dollar 41m sawa na
Tsh. 90.2b kununua jumba hilo lililopo
12 E 73rd Street licha ya awali kuuzwa kwa
Dollar 42.5m zaidi ya
Tsh. 92.5b lilipoingizwa sokoni kwa mara ya kwanza June 2016.

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment