GIROUD STRAIKA PEKEE ARSENAL AMBAYE YUKO FITI!!!!!!!!!



MAJERUHI PODOLSKI,SANOGO,BENDTNER,CHU-YOUNG SI FITI!!!!!!!

MENEJA wa Aresenal,Arsenal wenger anakabiliwa na upungufu wa masentafowadi baada ya Yaya Sanogo kuungana na Lukas Podolski kwenye listi ya majeruhi na hivyo kubakiwa na straika mmoja tu,Olivier Giroud kwenye kikosi chake ambacho kitacheza mechi ya ligi kuu Egland huko stadium of light dhidi ya Sunderland.

Yaya Sanogo alipata maumivu yake wakati akiwa na timu ya taifa ya france U-12 hivi juzi na mapema kuludishwa klabuni kwakeArsenal kwa matibabu.

Lukas podolski yeye amethibitishwa atakuwa nje kwa miezi 3 akitibiwa misuli ya paja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment