Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa Ng’ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi wamehudhuria
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi Wagombea Ubunge wa jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, kwenye viwanja vya mnada wa Ng’ombe,katika mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi wamehudhuria.
Mpekuzi blog
from Blogger http://ift.tt/1LNPWPr
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment