Breaking News: Kingunge Ngombale Mwiru Ajitoa CCM Rasmi ..Adai CCM Imekiuka Katiba na Inatumia Vijana Kutukuana Wazee


Mzee  Kingunge Ngombale Mwiru Ametangaza leo Mbele ya Waandishi wa Habari kuwa Amejitoa Rasmi CCM na Kwa Sasa Hata Jiunga na Chama Chochote Lakini Ataunga Mkono Mbio za Wanaotaka Mabadiliko…..

Kinginge Ametaja Sababu nyingi za Kujitoa CCM ikiwemo ya kukiuka katika wakati wa Mchakato wa kutafuta Mgombea Urais wa CCM kule Dodoma na CCM kutumia vijana kuwatukana Wazee….

from Blogger http://ift.tt/1jHD2vK
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment