 |
Meneja wa ubora huduma kwa wateja waTigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja watigo kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Dula la TigoNkurumah.
|
 |
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry(kushoto), Meneja wa Kitengo huduma kwa Wateja Tigo, Halima Kasoro (katikati) na Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Mwangaza Matotola (kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja
|
 |
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja yaliyofanyika Duka la Tigo Nkurumah |
 |
Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga akifanya mahojiano na mtejawa Tigo, Hamadi Maliwata mkazi wa Mbagala kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja waTigo.
|
 |
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo
|
 |
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Nkurumah, Lulu Kikuli akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga
|
 |
Msimamizi mkuu wa Duka la TigoNkurumah, Lulu Kikuli akimkabidhi zawadi ya simu, Grace Joachim mkazi wa Tandale ikiwa ni sehemu maadhimisho ya wiki huduma kwa wateja wa Tigo iliyofanyika duka la Nkurumah jijini Dar Es Salaam jana |
from Blogger http://ift.tt/1PgXu2J
via IFTTT
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment