Askari wa kulinda amani wa China waelekea Sudan Kusini



Askari 7 wa kulinda amani wa China wameondoka Beijing kuelekea nchini Sudan Kusini ambapo watatekeleza majukumu yao kwa muda wa mwaka mmoja. 

Wizara ya Usalama wa Umma ya China imesema, kikosi cha sita cha askari polisi wa kulinda amani wa China nchini Sudan Kusini kimechaguliwa na mamlaka ya polisi katika mkoa wa Zhejiang ulioko mashariki mwa China.

 Askari hao wamepitia mafunzo ya ulinzi wa amani ikiwemo hali katika ukanda watakaotekeleza majukumu yao, huduma ya kwanza, lugha ya kiingereza, na mazoezi ya kulenga shabaha, pia wamefaulu mtihani wa Umoja wa Mataifa.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment