Mange Kimambi Ameandika haya hapa chini katika ukurasa wake wa Instagram:
From @mangekimambi_ – Mi naomba nitoe nasaha kwa Chadema juu ya Wema mapemaaaa ili baadae tusije kulaumiana.
Mi natoa ushauri kwa Chadema kuwa wawe serious na kumshikilia huyu mtoto mpaka 2020. She is a huge asset. Wasifanye mistake waliyoifanya kwa Wolper!!Kuna mtu aliedhani kuna siku Wolper atageuka?Wolper alitupa shida mnooooo kipindi cha kampenii, Yani alikuwa ndo kamanda wao namba 1 online.Ila baada ya kampeni kuisha mlimsahau kabisaaa… Ubunge viti maalum mkawapa mahawara na magirlfiend zenu ambao hawakuwa na mchango hata robo ya mchango wa Wolper.Okay basi acheni viti maalum, hata kumpa kifuta jasho Mbowe jamani?
Ngojeni niwaambieni kitu, tusidanganyane hapa kuwa mtu anaweza kukipenda chama akawa anakufa njaaa ila akakomaa na chama.So Mimi nawaambia Chadema although Wema anaapa Miungu yoooote kuwa kaja kwa roho moja na haitaji pesa, mwisho wa siku hakuna kishawishi kibaya kama njaa.Atajikaza mwaka au miaka miwili ila njaa ikimzidia shetani atamshinda.Na CCM mnawajua mbinu zao.
So Mimi nawaaambia mapemaaa, Mbowe, Mdee , Easter Bulaya and the rest huyu mtoto ‘mumshikilie’.She is going to be a huge asset to you kupata kura za watu wengi mnooo.Njaa isikie kwa mwenzio, so don’t take her for granted!
Nawapeni wazo tu, sio lazma mumuweke kwenye payroll ya chama Ila Baba Sasha, Lema, Professor Jay, Mdee, Easter, Mbowe, Mnyika,mkisema kila mwezi kila mmoja wenu achange laki 3 tu za kumsaidia Wema kujikimu hamtoshindwa.Haki hizo kidogo zitamsaidia kuishi na kujikimu na kukitumikia chama.Mkimwacha akapauka asije after 2 years ‘akaimisss’ CCM tukaanza kulaumiana Hapa. Njaa ni kitu kingine aiseee!
Hata Wolper Alivyorudi CCM niliweka posti nikasema tusimlaumu Wolper , tuwalaumu Chadema, hawakumthamini, mtoto wa watu aliwasaidia mno.Asikwambie mtu Hata mtu apende chama vipi mwisho wa siku mkono lazma uende kinywani.
Mimi mwenyewe sometimes naishiwaga nguvu ya kazi Ila ni vile Magufuli ananiogopesha mnooo na issue ya demokrasia na udikteta so najikaza. Ila sometimes huwa natamani niage. So Trust me najua nachoongelea, msaidieni huyo mtoto..
from Blogger http://ift.tt/2mvkNez
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment