Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa (Bawacha),
wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa
Chadema Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya kutangazwa kwa matokeo ya
uchaguzi huo. (Picha na Francis Dande)
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bara), Hawa
Mwaifunga akilia kwa furaha baada ya kushinda nafasi hiyo katika uchaguzi
uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima
Mdee (kulia) akipongezwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake wa
Chadema. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo
(Bara), Hawa Mwaifunga.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima
Mdee (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wake (Bara), Hawa
Mwaifunga (kushoto) na Makamu Mwenyekiti
(Zanzibar), Hamida Abdallah.
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment