Siku ya leo miaka 53 iliyopita yaani tarehe 18 Septemba mwaka 1961 aliaga dunia Dag Hammarskjold mwanasiasa wa Swedeni na katibu mkuu wa pili wa umoja wa mataifa,mwanasiasa huyo alifaliki Dunia baada ya ndege iliyokuwa imembeba kuanguka katika ardhi ya jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo.Hammarskjold alikuwa Congo kwa kukomesha vita vya ndani mwanasiasa huyo alizaliwa mwaka 1905 na aliesabiwa kastika zama zake kuwa mwingoni mwa waandishi stadi nchini Sweden mwaka 1952, Dag Hammarskjold alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa alitunukiwa tuzo ya nobel miaka michache baada ya kuaga dunia.
na miaka 899 siku kama ya leo kazi ya kuandika tafsiri mashuhuri ya majmaul bayan ilimalizika kitabu icho kiliandikwa na Sheikh Tabarsi mmoja wa wafasili wakubwa wa qur'ani tukufu na mwingoni mwa maulamaa mashuhuri wa Iran aliyekuwa mashuhuri kwa jina la Aminul Islam kutokana na uwaminifu wa ucha mungu wake
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment