Makamu Mweenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhaj Ameir, akimkabidhi Kombe la
Ubingwa wa Timu za Majimbo Nahodha wa timu ya Jimbo la Makunduchi
Mustaffa Abdalla akikabidhiwa kombe hilo baada timu yake kushinda mchezo
wa fainali na timu yac Jimbo la Mfenesini kwa kuifunga mabaoo 3--0,
mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
Makamu Mweenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhaj Ameir akisalimiana na wachezaji wa timu ya jimbo la makunduchi.
Makamu Mweenyekiti wa ZFA Zanzibar Alhaj Ameir, akimkabidhi mipira
mshindi wa pili wa kombe la makimbo nahodha wa timu ya mfenesini
wamekabidhiwa mipira mitatu nafedha shilingi laki tatu.
Viongozi wa timu ya jimbo la mfenesini wakiwa na mshangao baada ya
timu yake kufungwa na timu ya jimbo la makunduchi 3--0. mchezo
uliofanyika uwanja wa amaan.
0 maoni:
Post a Comment