Wananchi wakiwa na watoto wao wakiingia katika kiwanja cha watoto
kariakoo wakati wa majaribio ya mapembea yalioko katika kiwanja hicho
baada ya kufungwa kwake karibu miezi mitatu kupita ili kutowa huduma kwa
watoto wakati wa kusherehekea sikukuu ya Eid Alhajj inayotarajiwa
kuadhimishwa mwishoni mwa wiki ijayo kuungana na Waumini wa dini ya
kiislam baada ya kumalizika kwa Hijja inayofanyika nchi Saud arabia.
Meneja Mipango, Uwekezaji na Utafiti Ndg, Khalifa Muumin, akiwa katika moja ya pembea katika kiwanja hicho kuangalia utowaji wa huduma kwa watoto waliofika katika kiwanja hicho leo jioni wakati wa majaribio ya pembea zake kwa ajili ya maandalizi ya sikukuu ya eid alhajj., kuona kama kuna matatizo katika pembea hizo.

Pembea ya gari ziendazo kasi
Pembea ya kikapu hiyooo ..........
Pembea ya vibesi ikitowa burudani kwa watoto waliofika kiwanjani hapo wakati wa majaribio yake leo jioni
0 maoni:
Post a Comment