MWENYEKITI wa Kamati ya Maafa Kisiwani Pemba,
katikati ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla,
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba Mhe:Omar Khamis Othaman, waliobakia
ni wakuu wa wilaya za Pemba, wakisoma kipeperushi kinachoelezea kuhusu Ugonjwa
wa Ebola, wakati kamati ya Maafa Pemba ilipokutana kisiwani Pemba. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIONGOZI mbali mbali wa Serikali, wakiwemo maafisa
wadhamini Kisiwani Pemba, makamanda wa vikosi mbali mbali vya ulinzi Pemba,
waandishi wa habari wakipitia kwa makini kipeperushi kinachielezea ugonjwa wa
Ebola, wakati kamati ya maafa pemba ilipokutana kisiwani Hapa. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
0 maoni:
Post a Comment