Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Hapo Kwenye Picha Wema Alikuwa anaimbiwa
Wimbo Maalumu kwa Ajili yake na Kuamua Kufungua Pochi na Kugawa
Mijihela Kibao Kwa Mwimbaji Sam wa Skylight Band Kitendo Kinachoonekana
Kujibu Mapigo kwa Kajala Kwani Siku si Nyingi nae alimwaga Minoti ya
kufa mtu kwa Waimbaji wa ya Moto Band….Mweee Siku hizi tuna Mapedejee
wa Kike…Lol
Home / Michezo
/ WEMA SEPETU AMJIBU KAJALA , NAYE AGAWA PESA KAMA MVUA KWA MWIMBAJI WA SKYLIGHT BAND
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)



0 maoni:
Post a Comment