Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mhe. Abdallah Mwanyi Khamis akiwahutubia Wazee katika maaadhimisho ya siku ya Wazee Dunuiani(kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Wastawi wa jamii, Vijana Wanawake na Watoo Asha Ali Abdallah na kushoto Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Ayubu Moh’h Mahmoud, zilizofanyika viwanja vya mpira dole wilaya ya magharibi unguja leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Wastawi wa jamii, Vijana wanawake na Watoto Bi. Asha Ali Abdallah akimkaribisha Mgeni Rasmin katika maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani.
Baadhi ya wageni waalikwa katika siku ya wazee Duniani.wakiwa katika viwanja vya sherehe hiyo zilizofanyika katika viwanja vya dole Wilaya ya Magharibi Unguja imeadhimishwa kitaifa Unguja leo.
Baadhi ya Wazee waliohudhuria katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani iliyoazimishwa leo huko Dole Wilaya ya Magharibi.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mhe. Abdallah Mwinyi Khamis mgeni Rasmin katika Maazimisho ya Siku ya Wazee Duniani zilizoadhimishwa katika viwanja vya mpira Dole,akiangalia Mkoba na bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wazee hao. maadhimisho hayo yamifanyika huko dole Wilaya ya Magharibi Unguja.(Picha na Miza Othman Maelezo-Zanzibar)
0 maoni:
Post a Comment