FAIDA ZA KUTANGAZA KAZI ZA MUZIKI WA INJILI KUPITIA TOVUTI YA JICHOPEMBUZI




No automatic alt text available. 


 Nyimbo au Video ya mwimbaji husika itawezeshwa kupatikana mtandaoni kwa urahisi kupitia mfumo wa google na hivyo kurahisishia kazi na taarifa zake kupatikana kwa urahisi zaidi kwa watu watakaohitaji taarifa za mwimbaji/mwanamuziki husika na kazi zake mahali popote duniani.
 Kazi yako itarushwa kwenye blog ya JICHOPEMBUZI  ambayo inatembelewa na watu zaidi ya 10000(elfu kumi) kila siku hivyo itakurahisishia kazi yako na taarifa zako kuwafikia watu wengi zaidi kila siku.
JICHOPEMBUZI  itakusaidia kukutengeneza na kukutangaza kwa kiwango cha ubora zaidi na kukuhakikishia kupata mtandao mpana wa soko la muziki wako ndani na Nje ya Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
 Gharama zetu ni nafuu ukilinganisha na huduma bora tunayotoa kwa kuhakikisha tunatangaza muziki wako kwa kiwango bora zaidi.
 Kazi yako ya muziki itapata nafasi kuchezwa kwenye vituo mbalimali vya radio ambapo JICHOPEMBUZI tuna uhusiano navyo kama vile Radio Habari Maalumu(Arusha), Praise Power Radio,  Gmcl fm Mbeya,Wapo Radio na vituo vingine vingi vya Radio na Tv.
JICHOPEMBUZI  tunahakikisha kazi zako(Audio/Video) na taarifa zako zinakuwa mtandaoni daima mpaka pale utakapoamua zitolewe ili kulinda nafasi yako ya kufahamika kwa wadau na mashabiki wako siku zote.
 Kutangaza kazi zako JICHOPEMBUZI Tunakutengenezea nafasi ya kuingia katika nyimbo kumi bora za kila mwezi kulingana na ubora na umaarufu wa kazi yako na hatimaye kuingia kwenye tuzo zetu za Gospo Music  Awards mwishoni mwa mwaka.
Huduma nyingine tunazotoa
-Kupiga picha kwa ajili ya kutengeneza matangazo ya album,covers (photo shoot)
-Kupiga picha kwenye matukio mbalimbali eg matamasha,mikutano ya injili,harusi,ibada, n.k
-Kutengeneza matangazo (flyers & Posters) ya matamasha,mikutano n.k
-Tunatengeneza CD covers , Artworks
-Tunatoa ushauri kwa waimbaji na wadau wa muziki wa Injili Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0746762488 Mbeya Tanzania.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment