kumi Bora za Gosple march 2017

Nyimbo Kumi Bora Zilizofanya Vizuri Zaidi Mwezi March 2017, Hizi Hapa.

Kupitia tovuti ya GospoMedia.com hizi ni nyimbo kumi Bora zilizofanya vizuri zaidi mwezi March mwaka 2017, nyimbo hizi zimefanikiwa kuingia kwenye chati ya kumi bora ya gospomedia.com kwa kigezo cha ubora wa nyimbo zenyewe na kupitia watu wote walioweza kuzisikiliza na kuzipakua baada ya kupandishwa kwenye tovuti ya gospomedia.com, pia zimefanikiwa kupata nafasi ya kuingia kwenye mchakato wa Tuzo za GOSPO AWARDS zinazotarajiwa kutolewa na gospomedia mwaka 2018.
  1. Shadrack Robert Feat Angel Benard-Mungu Nilinde


DOWNLOAD
2. Simon Damiano-Nafsi Yangu

DOWNLOAD
3. Neema Faraji-Historia

DOWNLOAD
4. Esteria Paul-Umeinuliwa

DOWNLOAD
5. Ritha Komba – Kivulini


DOWNLOAD
6. Beatrice Kitauli Feat Rose Muhando-Wajue

DOWNLOAD
7. Giveness Ngao-Nimeutoa Moyo

DOWNLOAD
8. Iman Victor-Unijaze

DOWNLOAD
9. Janet Otieno-Bisha

DOWNLOAD
10. Gelax Wakristo – Wasiwasi

DOWNLOAD

Uongozi na timu kazi ya gospomedia.com inatoa pongezi kwa wanamuziki na waimbaji wote ambao nyimbo zao zimefanikiwa kuingia kwenye chati hii ya kumi bora kwa mwezi March 2017, Baraka nyingi pia ziwafikie wadau na watu wote walioweza kusikiliza na kupakua nyimbo za waimbaji hawa na kuziwezesha kuingia kwenye chati hii ya kumi bora. Barikiwa sana.!!
Like Page yetu ya facebook > JICHOPEMBUZI  instagram>
 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment