Mchekeshaji Idris Sultan amekuwa na muonekano mpya usoni baada ya kubadilisha rangi ya ndevu zake (bleach).
Muigizaji huyo amedai amefanya hivyo ili
afanane na mshambuliaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi kwani mpenzi
wake anampenda sana mchezi huyo hodari duniani kwa kusakata kabumbu.
Idris amedai haitakuwa ni style yake ya mara kwa mara kwani amefanya hivyo mara moja ili kumridhisha mpenzi wake huyo.
Angalia hapa chini Idris Sultan akifunguka juu ya ishu hiyo.
0 maoni:
Post a Comment