CHELSEA YAPATA USHINDI WENYE UTATA.

Chelsea yapata ushindi wenye utata baada ya kundinda bao 2-1 dhidi ya Aston Villa.

Bao la kipindi cha pili lililofungwa na Branislaw Ivanovic kwa kichwa jumatano usiku kwenye uwanja wao wa nyumbani wa stamford Bridge.

Chelsea walianza kwa kufunga  kwa shuti la  Eden Hazard ambalo lilisindikizwa golini na Antonio Luna wakati akijalibu kuokoa.


lakini Christian Benteke alisawazisha kwa villa bao zuri.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment