MKUTANO huu umeitishwa baada ya ICC kukataa ombi la wanachama 54 wa AU kurejesha kesi za uhuru kenyatta na naibu wake William Ruto nyumbani
Marais wa Afrika wanakutana wikendi hii mjini Addis Ababa nchini Ethiopia kujadili uhusiano wa Afrika na mahakama ya kimataifa ya jinai ICC
Mkutano huo maalumu umeitishwa baada ya ICC kukataa ombi la wanachama 54 wa muungano wa Afrika kurejesha kesi za uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto nyumbani
Viongozi hao wanatalajiwa kujadili hoja ya kujiondoa kutoka kwa mahakama hiyo.
Baada ya miezi kaadhaa ya kutofautiana kati ya ICC na AU viongozi wa Afrika wanakutana katika makao makuu ya AU katika kile kinacho semekana ni kutafakari upya uhusiano wa bara hilo na mahakama ya ICC.
Home / Uncategories / AU KUJADILI UHUSIANO WAKE NA ICC KWA KUREJESHA KESI ZA UHURU KENYATTA NA NAIBU WAKE WILLIAM RUTO NYUMBANI.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment