JE, WAJUA MAZOEZI YA KUONGEZA UREFU, UNENE WA UUME NA NGUVU ZA KIUME...


                                                                       
                                  
Unaweza kua umepata mshtuko kuona makala hii kwasababu niliwahi kuandika makala kupinga watu wanaodai wana dawa za kuongeza unene na urefu wa uume na kuongeza nguvu za kiume kwenye moja ya makala zangu zilizopita, lakini msimamo wangu bado ni ulele kwamba hakuna dawa wala uchawi wa kuongeza maumbile ya uume japokua kuna dawa zakuongeza nguvu za kiume kutoka viwandani na zinafanya kazi hizo za kienyeji siwezi kuziongelea kwani hawa watu hawakubali kushindwa hata dawa ya ukimwi watakwambia ipo…
kuna njia mbili tu za kuongeza uume yaani upasuaji ambapo ligament kuu mbili za zinazoshika uume  uume na mfupa wa nyonga hukatwa na na kufanya sehemu ya ndani ya uume {ambayo ni kama sentimita sita kwa ndani} kutoka nje lakini njia hii ni hatari kwani hupona na kuacha makovu, makovu ambayo baadae yatauvuta uume ndani na uonekane mdogo zaidi lakini pia uume hukosa balance na kuchomoka nje na kupinda wakati mwingine.
Njia nyingine ambayo kwa sasa imefanyiwa utafiti duniani na madaktari bingwa wa mambo ya sehemu za siri yaani urologist na sexiologist ni ya kufanyisha mazoezi ligament hizo mpaka ziongezeke urefu na kuongezeka unene bila madhara hata kidogo.
Unaweza kua umeshachanganywa na matangazo mengi ya kwenye mtandao ambayo hujitapa yanaweza kufanya hiyo kazi kwa vidonge au waganga wa ndani ya nchi ambao kila siku wanakula pesa nyingi sana kwa kazi hiyo ya kitapeli ambayo haina ushahidi. Sasa kama na wewe umeshandanganyika sana tulia usome kwa makini ukweli ulipo na mzoezi yanvyofanya kazi.
Unaweza kua ushawahi kuyafanya mazoezi haya lakini hukufanikiwa kwa sababu hukufuata utaratibu hatua kwa hatua kama kitabu kinavyoelekeza.
Je unafanyaje mazoezi haya?
Unaweza ukawa bado unaona ni kitu ambacho hakiwezekani.. lakini ngoja nikwambie kitu kimoja ambacho ulikua hukijui.kama unavyoona misuli ya mtu mwembamba inabeba chuma mpaka inakua inajaa na kua mikubwa. Misuli yote ya mwili wa binadamu ikifanyiwa mazoezi inabadilika ukubwa wake kitaalamu tunaita muscle hypertrophy…mazoezi haya hayahitaji vifaa vyovyote zaidi va viganja vyako.[ hivyo mtu asiyeyaweza labda awe hana viganja au hana uume}
Kuna aina kuu mbili za mazoezi haya..
Mazoezi ya kuongeza urefu wa uume na mazoezi ya kuongeza unene wa uume..
  • Mazoezi ya kuongeza urefu yanahusisha ligament kuu mbili yani fundiform ligament na suspensory ligament kwa kuvuta ligament hizo kitaalamu kama stretching exercises.
  • Mazoezi ya kuongeza unene wa uume ambayo yanahusisha kuongeza damu nyingi kwenye sehemu za uume mpaka sehemu ya ziada iongezeke ili kuhifadhi damu hiyo na ndio unene wenyewe.
tofauti ya mazoezi haya na mengine ya mwili ni nini?
 Ukibeba chuma kwa muda Fulani mwili utajaa sana lakini ukiacha mwili unaweza rudia hali yake ya zamani japokua mwili hautaisha kabisa kwani kama wewe ni mwana mazoezi ukimuona mtu aliyewahi kubeba vyuma zamani utamgundua tu kwani ile ramani ya misuli hua haipotei…lakini ukifanya mazoezi haya kuna mishipa midogo midogo sana ya damu itapasuka kuipisha mikubwa na mishipa hiyo mipya haitapotea milele yaani ukubwa utakaopata hautabadilika tena hata ukiacha.
Je mazoezi haya yanafanya kazi kweli?
Hapa ndipo sehemu kuu ya kuzingatia kuliko zote hautaziona hata kidogo. Nasema hivi kwasababu najua naongea na wanaume sasa hivi kwamba sisi wote ni mashahidi yaani ili ubebe vyuma mpaka kifua kionekane lazima moyo wa kwenga gym uwe nao na ninajua wengi wenu mlishaanza gym mkaenda wiki moja mkaacha ila wale wavumilivu ndio mabaunsa mpaka leo. , ukifanya mazoezi haya kwa muda wa miezi mitatu mpaka sita ukiwa na nia ya kweli kutoka moyoni sio kwamba utaongezeka unene tu bali uume utakua na nguvu kama simba na afya tele. Kiufupi hakuna njia ya uhakika na isyo na madhara kama hii, sio kwamba najisifia kwani hata usiponiamini imeshafanyiwa utafiti na ikakubalika kutumika duniani.
Hebu tuangalie historia, ushahidi na utafiti uliofanywa na madaktari wa kwanza kugundua njia hii..
CHARTHAM METHOD
Mwaka 1970 daktari mmoja aliyekua bingwa ya mambo ya afya kujamiina yaani specialist in sexual health aliyekua ameandika vitabu kadhaa kuhusu mambo ya afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake aliamua kufanya utafiti kuhakikisha mbinu hii iliyokua inaitwa chartham method kabla watu hawajaanza kuitumia.
Daktari huyu alichukua wanaume 32 na kuwafanyisha mazoezi haya kwa muda wa mwezi mitatu na alibaki mdomo wazi kwani utafiti huu ulikua na mafanikio ya asilimia 87.5% yaani wanaume 28 waliongezeka urefu wa uume kwa sentimita 3.5 na unene wa sentimita 3 wakati nyeti zao zikiwa zimesimama huku wawili wakiacha na wengine wawili kutopata mafanikio. Hiyo ilikua miezi mitatu huenda wangefika mezi sita wangekua zaidi ya hapo.
SYNEXUS AND HARRISON
Miaka michache iliyopita utafiti huu ulirudiwa na synexus and harisson clinical research ukiwahusisha wanaume 50 ambako wanaume wote hamsini nyeti zao ziliongezeka kwa urefu wa sentimita 4.5 na unene wa sentimita 4 kwa miezi mitatu tu, yaani zaidi ya utafiti uliopita kwani huu ulifanikiwa kwa asilimia mia moja.
Mazoezi haya yalifanyika kwa dakika 22, siku tano kwa wiki kwa muda wa miezi mitatu.
UTAFITI WANGU MWENYEWE KAMA DAKTARI WA BINADAMU.
Nilipomaliza chuo cha udaktari mwaka 2013 niliendelea kukutana na mabishano makali na madaktari wenzangu kuhusu hoja hii. Nikaona haina haja ya kuendelea kuumiza kichwa kwani moja ya kazi kubwa ya daktari ni kufanya utafiti hivyo nikajitosa kwenye utafiti huo kama daktari,  hivyo mwaka 2014 kwanzia  mwezi wa kwanza niliamua kufanya utafiti huu kwa kutumia wanaume kumi tu kwa muda wa miezi sita. Haikua kazi rahisi kwani ilibidi wafanye kazi hii kwa gharama zangu kwani ilibidi niwasimamie na wafanye kama navyotaka mimi.
Baada ya miezi sita matokeo yale yalinifanya nikubali mazoezi haya yanafanya kazi japokua kuna watatu waliacha njiani wale saba waliomaliza mpaka mwisho waliongezeka kwa sentimita 4 mpaka 6 urefu kila mtu na unene wa sentimita 4 mpaka  4.5..yaani baada ya utafiti huu wao ndio walionishukuru wakidai kwamba nimeokoa ndoa zao kwani mwanzoni walikua wazito sana kukubali kushiriki.
Baada ya hapo ndipo nilipokaa chini na kuanza kuandaa kitabu hichi kwanzia mwezi wa saba mwaka jana na kukikamilisha mwezi wa tano mwaka huu. Kitabu hichi sio kirefu sana ila kilinitaka akili nyingi na kuandika vitu vyenye ushahidi wa kweli sio kukurupuka tu, kwani unapofanya kitu kinachohusiana na maisha ya binadamu hasa eneo hilo lazima uwe makini sana.
Ni kweli watu wanatofautiana sana kimaumbile yaani kuna wengine wanawahi sana kupata matokeo na wengine wanachelewa kidogo lakini mwisho wa siku hakuna anyeambulia patupu.
TATIZO LA KUTOKUA NA UVUMILIVU..
Mazoezi haya yanatakiwa yafanyike mara tano kwa wiki sio chini ya miezi mitatu kwa kufuata kama nilivyoelekeza, wasomaji wengi hapa wanaona ni kawaida ila huenda wengi wenu mtaacha kabla ya muda huo.
Kupata dakika 20 mpaka 30 za kujifungia sehemu peke yako bila kubugudhiwa inaweza kua ngumu sana labda ufanye usiku sana au asubuhi mapema kabla watu hawajaamka labda kama unaishi peke yako.
Kumbuka katika kila mwanaume aliyefanikiwa kuna wengine walikata tamaa na kuacha ndio maana nilitoa mfano wa kubeba chuma hapo mwanzoni kwani mimi pia ni mshiriki wa mazoezi hayo ya kubeba vyuma yaani lazima uwe na moyo wa chuma.
 Mazoezi haya yanawezekana kwani kuna ambao tayari wamefanikiwa kwa mazoezi haya ya kuongeza maumbile, unene wa uume na nguvu za kiume.
CHAKULA
Wakati unafanya mazoezi haya jitahidi kula vyakula vya protini hata mara nne kwa siku kwani ndio mzizi mkuu wa ukuaji wa binadamu  yaani nyama, samaki, karanga,maziwa, korosho,dagaa na kadhalika…
MUDA WA MAZOEZI NA KUONGEZEKA KWA MAUMBILE..

  • Utaona mabadiliko ya nguvu za kiume wiki chache baada ya kuanza mazoezi haya na uume utaonekana mkubwa hata ukiwa umelala.
  • Mwezi wa kwanza tegemea kuongezeka uume kwa sentimita 1.5 na unene wa sentimita 1.5
  • Mwezi wa tatu tegemea kupata  sentimita 4 mpaka 6  za urefu na sentimita  3 mpaka 3.5 za unene.
  • Miezi sita utaongezeka zaidi ya hapo.
  • Urefu huo ni kutokana na data za  asilimia kubwa ya watu waliyoyafanya japokua kuna ambao watawahi zaidi kufanikiwa na wengine kuchelewa kidogo.
MWISHO; kitabu hichi kitauzwa kwa shilingi elfu ishirini na tano tu za kitanzania 25000 tu ambayo italipwa m pesa au tigo pesa kwa namba hizi mbili 0653095635 tigo 0769846183 vodacom kwa  wanaohitaji . Ukishalipa utatuma email yako kwenye namba hizo au nitumie email yako  moja kwa moja kwenye email yangu kalegamyehinyuye@gmail.com afu ntakutumia kitabu kikiwa kwenye mfumo wa soft copy.kama ukihitaji hardcopy unaweza kuja kuchukua ofisini kwangu ukonga madafu kwa walioko dar au ukatumiwa kwa basi kwa wa mikoani.[gharama ya usafiri wa basi ni juu yako kama uko mkoani]
Kumbuka: usipoteze fedha zako kama hauko tayari kufanya mazoezi hayo kwa moyo wote  kwani mimi sio mganga wa kienyeji na utaishia kulaumu kama hauko tayari kujitoa,... pia naamini msemo wa waingereza no pain no gain. tembelea blog yetu ya kingereza hapa www.vibesinc.ga
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 maoni:

  1. doaitari kumbuka sio wote wanaelewa kingereza ebu fafanua mazoezi haya yanafanyikaje

    ReplyDelete
  2. Je niki musterbate ili nikuze uume

    ReplyDelete
  3. Kwangu mimi nimejua tu kuna mazoezi ya aina mbili, lakini ufafanuzi hautoshi kukuelewa kwamba unafanyaje kwa mfano toa hata picha basi

    ReplyDelete