KERRY ATETEA SHAMBULIZI LA NAVY SEAL,LIBYA.

MAJESHI maalumu ya marekani pia yalishambulia kituo cha majini cha AL -SHABAAB chenye uhusiano na AL-QAIDA nchini SOMALIA.


waziri wa mambo ya nje wa MAREKANI JOHN KERRY anatetea shambulizi lililofanywa  na kikosi maalumu cha MAREKANI kumkamata kiongozi mwandamizi wa AL-QAIDA nchini LIBYA akisema operesheni hiyo ilikuwa halali na muafaka.

Serikali ya LIBYA inaitaka MAREKANI  kuelezea kuhusu kile inacho kiita utekaji nyara wa ABU ANAS AL-LIBI ndani ya ardhi ya LIBYA tukio lilifanyika siku ya jumamosi.

KERRY alisema jumatatu pembeni ya mkutano wa kieneo huko indonesia kwamba madai ya LIBYA hayana msingi na kwamba LIBI atafikishwa kwenye mahakama ya sheria.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment