Inafikiriwa kuwa watu kadha waliuwawa katika mashambulio yaliofanywa na wale wanaoshukiwa kuwa wapiganaji waislamu kaskazini mwa Nigeria hapo jana
wakazi wa uko wanasema wapiganaji wa boko Haram walikuwapo kwa saa sita wakiuwa watu na kuchoma moto vijiji.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment