Unaambiwa Wema Sepetu ataafanye nini hawezi kumfikia huyu dada kwa Uzuri na Pesa.
Mwigizaji wa filamu hapa bongoaitwaye Wema Sepetu kapewa tuzo kama mlimbwende mwenye mvuto zaidi hapa Bongo, iliyopelekea kujizolea umaarufu sana mwaka huu katika vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii hivyo amezidi kujizoelea umaarufu kila kukicha
Aidha katika uchunguzi uliofanywa na JICHOPEMBUZI (J.Z.M.I)Kwa Wema Sepetu inasadikika kuwa anautajili wa kujitosheleza kwa kumiliki jumba lenye thamani zaidi ya milioni 400,anamiliki kampuni ya Endelss film,magari nk.
unaweza kujiuluza maswali mengi sana kuhusu jina hili kwanini "THE BOSS LADY"
Zari ni mlimbwende anaye zunguziwa sana katika mitandao mbalimbali ndani na nje ya uganda,kwa utajiri wake wa ajabu.huku akiwaacha vigogo wengi kwenye maataa kwa uzuri na umbo lake la kuvutia.
pia skendo za hapa na pale hazimwishi,hii upelekea kuzidi kumpa umaarufu zaidi na zaidi,Zari anamiliki magari ya kifahari makampuni na Asasi binafsi ili kuendesha maisha yake ya kawaida.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment