Download Music Audio: Annoint Essau Amani-Nitakumbukwa Na Nini?


Shalom! leo kupitia tovuti ya JICHOPEMBUZI  tunaitambulisha kwako wimbo mpya unaoitwa Nitakumbukwa na Nini kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania anayefahamika kwa jina la Annoint Essau Amani ikiwa ni wimbo wake wa kwanza kwa mwaka 2017 uliotengenezwa ndani ya studio ya Pamoja Records kutoka jijini dar es salaam.

Akizungumza na Gospomedia.com, Annoint Essau amesema kuwa wimbo huu mpya ni wenye kugusa zaidi maisha yake lakini bado anaamini kupitia huduma yake ambayo ameanza nayo mwaka huu ataweza kuwatia moyo wengine ambao pia wanapitia magumu mbalimbali na amewasihi kutokata tamaa na wimbo huu ambao ameuachia leo tarehe 1.01.2017 ni zawadi maalumu kwao ili uweze kuwa baraka juu yao kwa mwaka huu wa 2017.
gospomedia.com tunakukaribisha kuusikiliza na kuupakua wimbo huu na hakika utabarikiwa sana pia usiache kuwashirikisha na wengine kwa kadri uwezavyo ili injili iweze kuwafikia watu wengi zaidi mahali pote duniani. Karibu!!
Download

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment