Kayaks mwendelezo wa mwitikio mkubwa ambao ziara ya Katibu Mkuu Dk. Slaa imeendelea kupata tangu siku ya kwanza alipoanza mkoani Mbeya katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi, kisha mji wa Tunduma uliozizima kwa mkutano wa kihistoria na jana mji wa Sumbawanga ukasimama kwa muda wakati wa mkutano na baada wakati wananchi walipomsindikiza kwa maelfu, leo ni zamu ya watu wa Katavi kupata neno la hamasa kuiondoa CCM mwaka huu. Katibu Mkuu akapofika Mjini Katavi atakwenda moja kwa moja ofisini kupata briefing ya utendaji wa chama na mwenendo wa maandalizi ya chama kwa kushirikiana na vyama washirika wa UKAWA kwenda kushinda uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na kuongoza dola. Baada ya hapo atapita katika vituo vya uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa BVR Kama ambavyo ambavyo amefanya maeneo yote alikopita katika ziara hii na ile aliyofanya mkoani Kagera. Baada ya hapo Katibu Mkuu atakwenda kuzungumza na wananchi wa Katavi katika Uwanja wa Kashaulili Mjini hapo ambao maandalizi yake yamekamilika ukitarajiwa kuwa mkutano mkubwa watu wa Katavi wakidhamiria kuvunja rekodi za Tunduma na Sumbawanga. Tayari watu wa Mji wa Katavi wanamsubiri Katibu Mkuu ambapo kutokana na uwingi wa magari na pikipiki na waenda kwa miguu ambao hadi sasa wako tayari ofisi ya chama mjini hapo, polisi wamewauliza viongozi wetu wa chama kama wanaweza kupunguza idadi ya Pikipiki na magari. Viongozi wamewaambia polisi hakuna namna ya kuweza kupunguza watu wenye shauku kubwa ya kumpokea na kumsikiliza kiongozi wao. Wamewaambia wazi kuwa wanapaswa kuzoea mwamko wa siasa nchini na kiu ya wananchi kutaka mabadiliko wakiwa tayari kukiondoa CCM madarakani mwaka huu ifikapo mwezi Oktoba. Wamewaambia mapokezi hayo ndiyo hadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA na wananchi wanatambua umuhimu wa kumpatia heshima inayomstahili Katibu Mkuu Dk. Slaa ndiyo maana wamejiandaa tangu jana. Wamewaambia polisi wajiandae kusaidiana na vijana wa CHADEMA katika kutoa ulinzi kwa msafara wa Katibu Mkuu Dk. Slaa kuanzia atakapofika hadi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara unaotarajiwa kufanyika Uwanja wa Kashaulili. Hii ni siku ya nne ya ziara ya Katibu Mkuu Dk. Slaa aliyoanza siku ya Jumamosi katika mji wa Vwawa, kisha Jumapili akawa Tunduma jana alikuwa Sumbawanga. Kote huko Daktari Slaa amepeleka ujumbe mmoja mkubwa; watu kujitokeza na kuhamasishana kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba. Aidha ameendelea kukagua maandalizi ya chama kinavyojiandaa kwenda kushinda uchaguzi kwa kushirikiana na vyama wenza wa UKAWA na kuongoza serikali. Makene... Reply Maboso 11:17 Yesterday By Tumaini Makene: Nani ataichagua CCM kuongoza kupitia kwa wagombea wake wanaoendelea kuufanya urahisi kuwa 'bidhaa' rahisi kiasi kwamba hadi sasa tumekwama kwenye hali kama hii; Naimiss sana Katiba ya mwaka 2004. Hakika Unkuruzinza sio hadi uwe rais wa nchi. Majambazi yanayobaka katiba hata ya chama tu hayapaswi kabisa kukaribishwa Ikulu. "6.3.2: Leaders who finish their term of office can be eligible for re-election provided he qualifies but no leader can hold the same post at the same level of the party structure for more than two terms. " Reply Kinjekitile junior 11:24 Yesterday By Shardcole: Huyu ndiye Rais tunayemtaka mwenye safari ya uhakika na sio safari ya matumaini. Unamtaka wewe, huyu si aligombea mwaka 2010 wenye kumbukumbu sahihi mtupe data hali ikuaje teh teh afu huyu hawezi kupitishwa na UKAWA, Lipumba kasema yeye ndo jembe na anawafunika wote kwa elimu ,zitapigwa tu huko we subiri tu na huyo Lisu tayari anatamani kupigana kwenye sheria ya habari. Reply Kinjekitile junior 11:26 Yesterday By Maboso: Naimiss sana Katiba ya mwaka 2004. Hakika Unkuruzinza sio hadi uwe rais wa nchi. Majambazi yanayobaka katiba hata ya chama tu hayapaswi kabisa kukaribishwa Ikulu. "6.3.2: Leaders who finish their term of office can be eligible for re-election provided he qualifies but no leader can hold the same post at the same level of the party structure for more than two terms. " Juzi Huyo Makene wenu nilimuuliza maswali akawa ananijibu vizuri tu baadaye akanikimbia sasa leo namuona anaibukia Katavi. Reply Tabby 11:26 Yesterday Shule hiyo ni ya Tanzania na yeye amechangia kodi. Wewe unataka achangie nini zaidi ya kodi kibao na kubwa anazotoa kupitia kila kitu anachokifaya? Unataka kumwambia aboreshe elimu kwani yeye ni serikali? Anakusanya kodi? Fungua macho, Ona aibu, Jutia makosa, fanya mabadiliko. By Mwakaboko King: Usilazimishe hoja na kutafuta uhalali sema hiyo shule ni ya wapi na wewe umechangia niniAttachment 256360 Reply Kinjekitile junior 11:30 Yesterday By Tabby: Shule hiyo ni ya Tanzania na yeye amechangia kodi. Wewe unataka achangie nini zaidi ya kodi kibao na kubwa anazotoa kupitia kila kitu anachokifaya? Unataka kumwambia aboreshe elimu kwani yeye ni serikali? Anakusanya kodi? Fungua macho, Ona aibu, Jutia makosa, fanya mabadiliko. Msemaji wa Makene na Mbowe unamaanisha nini hapa,Ukimaliza kusoma uje na majibu ya Kwa nini alichakachua katiba ya chama ili abakie madarakani huyo unayemtetea? Reply Ng'wanapagi 11:34 Yesterday By Tumaini Makene: Katika mwendelezo wa mwitikio mkubwa ambao ziara ya Katibu Mkuu Dk. Slaa imeendelea kupata tangu siku ya kwanza alipoanza mkoani Mbeya katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi, kisha mji wa Tunduma uliozizima kwa mkutano wa kihistoria na jana mji wa Sumbawanga ukasimama kwa muda wakati wa mkutano na baada wakati wananchi walipomsindikiza kwa maelfu, leo ni zamu ya watu wa Katavi kupata neno la hamasa kuiondoa CCM mwaka huu. Katibu Mkuu akapofika Mjini Katavi atakwenda moja kwa moja ofisini kupata briefing ya utendaji wa chama na mwenendo wa maandalizi ya chama kwa kushirikiana na vyama washirika wa UKAWA kwenda kushinda uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na kuongoza dola. Baada ya hapo atapita katika vituo vya uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa BVR Kama ambavyo ambavyo amefanya maeneo yote alikopita katika ziara hii na ile aliyofanya mkoani Kagera. Baada ya hapo Katibu Mkuu atakwenda kuzungumza na wananchi wa Katavi katika Uwanja wa Kashaulili Mjini hapo ambao maandalizi yake yamekamilika ukitarajiwa kuwa mkutano mkubwa watu wa Katavi wakidhamiria kuvunja rekodi za Tunduma na Sumbawanga. Tayari watu wa Mji wa Katavi wanamsubiri Katibu Mkuu ambapo kutokana na uwingi wa magari na pikipiki na waenda kwa miguu ambao hadi sasa wako tayari ofisi ya chama mjini hapo, polisi wamewauliza viongozi wetu wa chama kama wanaweza kupunguza idadi ya Pikipiki na magari. Viongozi wamewaambia polisi hakuna namna ya kuweza kupunguza watu wenye shauku kubwa ya kumpokea na kumsikiliza kiongozi wao. Wamewaambia wazi kuwa wanapaswa kuzoea mwamko wa siasa nchini na kiu ya wananchi kutaka mabadiliko wakiwa tayari kukiondoa CCM madarakani mwaka huu ifikapo mwezi Oktoba. Wamewaambia mapokezi hayo ndiyo hadhi ya viongozi wakuu wa CHADEMA na wananchi wanatambua umuhimu wa kumpatia heshima inayomstahili Katibu Mkuu Dk. Slaa ndiyo maana wamejiandaa tangu jana. Wamewaambia polisi wajiandae kusaidiana na vijana wa CHADEMA katika kutoa ulinzi kwa msafara wa Katibu Mkuu Dk. Slaa kuanzia atakapofika hadi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara unaotarajiwa kufanyika Uwanja wa Kashaulili. Hii ni siku ya nne ya ziara ya Katibu Mkuu Dk. Slaa aliyoanza siku ya Jumamosi katika mji wa Vwawa, kisha Jumapili akawa Tunduma jana alikuwa Sumbawanga. Kote huko Daktari Slaa amepeleka ujumbe mmoja mkubwa; watu kujitokeza na kuhamasishana kwa wingi kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba. Aidha ameendelea kukagua maandalizi ya chama kinavyojiandaa kwenda kushinda uchaguzi kwa kushirikiana na vyama wenza wa UKAWA na kuongoza serikali. Makene... Aisee CHADEMA kwa propaganda hamjambo. Reply Haki sawa 11:37 Yesterday By Kinjekitile junior: Msemaji wa Makene na Mbowe unamaanisha nini hapa,Ukimaliza kusoma uje na majibu ya Kwa nini alichakachua katiba ya chama ili abakie madarakani huyo unayemtetea? Mambo mengine ni ya aibu sana , yaani wewe unahangaika na maneno ya Mwigamba ? Reply MESTOD 11:42 Yesterday His Excellency, Mh, Dr, Prof Jakaya Mrisho Kikwete ameanza likizo ya siku tano ulaya kwa mwaliko wa viongozi wa nchi hizo. Huko, atakuwa na ziara ya siku tatu nchini Finland ambako atatembelea bunge, na baadaye atakuwa na ziara Sweden na Finland. Lazima aende sana kwa wapiga kura wake maana ndo walimchagua.. Reply Nduka 11:52 Yesterday Itakuwa anasubiriwa kwa hamu na Josephine na Junior. Reply stanlthecreator 11:56 Yesterday Padri slaa mzinifu na msaliti wa dini arudishe kwanza mke wa watu atubu kwa Mungu ndo aje agombee urais la sivyo Mungu ataendelea kumshushia adhabu urais atausikia bombani Reply Maboso 12:01 Yesterday By Kinjekitile junior: Juzi Huyo Makene wenu nilimuuliza maswali akawa ananijibu vizuri tu baadaye akanikimbia sasa leo namuona anaibukia Katavi. Huyu jamaa akibanwa na maswali magumu huwa anakimbia hajibu. Reply Tabby 12:08 Yesterday Acha kupaniki bwana mdogo. Mlimwuliza aliyekuwaishangaa shule aseme shule iko wapi na yeye kachangia nini. Nimejibu kwamba hiyo shule iko Tanzania. Mchango wa mwananchi katika maendeleo ya nchi ni kodi anayotoa na ambayo ni kubwa tu. Au ninyi mnataka afanya nini zaidi huyu Mtanzania katika kuboresha elimu? Kukurupuka na kukimbilia hoja ambazo hazijawekwa mezani ukadhani kiilichomo kichwani mwako ndicho kila mtu anakijua, ni tatizo kubwa la ki ufahamu. Ndiyo maana watu wenye heshima zao wanaamua kuku ignore kwa ustaarabu. Vinginevyo unaweza kutukanwa kwa kukosa organization, ama kuwa lifyoto. Umekurupuka na suala la katiba kuchakachuliwa, sijui nani anatetewa hata sijui kwa kosa gani juu ya tuhuma ipi,bila hata maelezo ya utangulizi. Sijaelewa ulitaka kusema na mimi au mtu mwingine. Unayemwambia amalize kusoma aje kukujibu sijui ni nani na anasoma nini na wapi? Kwa nini umechanganyikiwa? Fafanua hoja yako na tatizo lako ndipo tujadili. Unaelewa wewe kijana? By Kinjekitile junior: Msemaji wa Makene na Mbowe unamaanisha nini hapa,Ukimaliza kusoma uje na majibu ya Kwa nini alichakachua katiba ya chama ili abakie madarakani huyo unayemtetea? Reply OKW BOBAN SUNZU 12:33 Yesterday c.c Katavi Reply Deo Corleone 12:41 Yesterday By Shardcole: Wewe kwani upo katavi mkuu mbona unakuwa mbea sana? Niko Mpanda BVR registration Leo hakuna. Badae nitakwepo kwenye mkutano.. Una lingine nikujibu?! Reply POMPO 12:45 Yesterday By Kinjekitile junior: Msemaji wa Makene na Mbowe unamaanisha nini hapa,Ukimaliza kusoma uje na majibu ya Kwa nini alichakachua katiba ya chama ili abakie madarakani huyo unayemtetea? Jenga hoja kijana, pia jifunze katiba haibadilishwi wala kutengenezwa na mtu mmoja. Reply Kinjekitile junior 12:45 Yesterday By Haki sawa: Mambo mengine ni ya aibu sana , yaani wewe unahangaika na maneno ya Mwigamba ? Kwani Mwigamba una undugu naye? Reply POMPO 12:47 Yesterday By stanlthecreator: Padri slaa mzinifu na msaliti wa dini arudishe kwanza mke wa watu atubu kwa Mungu ndo aje agombee urais la sivyo Mungu ataendelea kumshushia adhabu urais atausikia bombani Matusi ndio hoja zenu, badilisheni CD Reply POMPO 12:48 Yesterday By Kinjekitile junior: Kwani Mwigamba una undugu naye? Nyie wasaliti tunawajua kajrngrni chama chenu Reply Kinjekitile junior 12:49 Yesterday Afadhari Makene kakutuma wewe kuwa spika na kisemeo chake maana akiulizwa maswali anajifanya yuko busy then anaswitch kwenye akaunti nyingine anaanza kutukana! Wewe hii hoja sio size yako hata siwezi kukuambia mwambie Makene arudi na Id yake verified ntamuuliza yeye wewe ni mpitaji tu hapa na umetumwa kibaraka! By Tabby: Acha kupaniki bwana mdogo. Mlimwuliza aliyekuwaishangaa shule aseme shule iko wapi na yeye kachangia nini. Nimejibu kwamba hiyo shule iko Tanzania. Mchango wa mwananchi katika maendeleo ya nchi ni kodi anayotoa na ambayo ni kubwa tu. Au ninyi mnataka afanya nini zaidi huyu Mtanzania katika kuboresha elimu? Kukurupuka na kukimbilia hoja ambazo hazijawekwa mezani ukadhani kiilichomo kichwani mwako ndicho kila mtu anakijua, ni tatizo kubwa la ki ufahamu. Ndiyo maana watu wenye heshima zao wanaamua kuku ignore kwa ustaarabu. Vinginevyo unaweza kutukanwa kwa kukosa organization, ama kuwa lifyoto. Umekurupuka na suala la katiba kuchakachuliwa, sijui nani anatetewa hata sijui kwa kosa gani juu ya tuhuma ipi,bila hata maelezo ya utangulizi. Sijaelewa ulitaka kusema na mimi au mtu mwingine. Unayemwambia amalize kusoma aje kukujibu sijui ni nani na anasoma nini na wapi? Kwa nini umechanganyikiwa? Fafanua hoja yako na tatizo lako ndipo tujadili. Unaelewa wewe kijana? Reply Haki sawa 12:49 Yesterday By Kinjekitile junior: Kwani Mwigamba una undugu naye? Sina uhusiano na wasaliti mimi ..... Reply Page 3 of 10 First 123 45 ... Last Up Copyright JamiiForums.com
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment