WAZIMBABWE WAJIFUNZA TUMBAKU TANZANIA


Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.
Meneja Uhusiano wa Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Mazehiew Folleto (Kulia) akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano Kampuni ya Tumbaku Tanzania (TLTC) na Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Richard Sinamtwa (Kulia) akiwaongoza wageni kutoka Bodi ya Tumbaku na Masoko ya Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.
Meneja Mapokezi wa Tumbaku kwenye Kiwanda cha Kusindika Tumbaku (TTPL), Bw.Nico Zambetakis akifafanua jambo kwa wadau wa tumbaku kutoka Zimbabwe walipotembelea kiwanda hicho kwa ziara ya mafunzo Mjini  Morogoro.

from Blogger http://ift.tt/1NW5eGE
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment