Breaking Newssss: Mkuu wa mkoa Dar amchoma Kabwe mbele ya Rais Magufuli

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson
Mkurugenzi wa Jiji la Dar Wilson Kabwe

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amemchoma mkurugenzi wa Jiji la Dar Mbele ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuhuhu mikataka ya Packing na tozi za mabasi katika stendi kuu ya mabasi yaendayo Mikoani Ubungo na kutumbuliwa.

Rais amemtumbua Wilson Kabwe hadharani wakati akizindua Daraja la Kigamboni ambalo amelipa jina la Nyerere ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuweka bayana madudu ya mkataba wa ukusanyaji wa tozo za mabasi yanayotoka Stendi kuu ya Ubungo.

Akimweleza Rais Makonda alisema kuwa halmashauri inachukua kiwango kingine na mkataba uliopo halmashauri unaonyesha kiwango kingine.

Makonda alisema kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar amekuwa na mkataba wa kukusanya tozo getini ya shilingi 8,000 kama sheria ya mwaka 2009 huku mkandalasi wa kukusanya kodi hiyo anamkataba wa shilingi 4000 ambayo imepita mdawaka ya mwaka 2004.

Kufuatia maelezo hayo raisi ameamua kumtumbua Mkurugenzi huyo kwa kumsimamisha huku akisema kuwa akimwacha kwa muda mrefu jipu litakuwa ni usaha.

Amesema kuwa amemsimamisha wakati uchunguzi dhidi yake ukiendelea na kama hata kutikana na Tuhuma hatakuwa na shida nae.

Makaonda alimwambia Rais kuwa ni zaidi ya Bilion 3 kufuatia gari kuto toa shiringi 8000 na kutoa shiringi 4000 kwa mabasi yanayo toka katiak kituo kikuu ya mabasi.

Elimtaa Itakuretea Video ya kutumbuliwa

from Blogger http://ift.tt/23VKDZB
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment