WATOTO walio na uoni hafifu wamepa msaada wa vifaa vitakavyo wasaidia kuona vizuri wakiwa
darasani pamoja na kofia na miwani kwa watoto wenye ualbino katika shule ya
msingi Kibeni inayo wafundisha watoto
wenye mahitaji maalumi mkoani Njombe.

Vifaa hivyo vimekabidhiwa juzi na
shirika la Under the Same Sun pamoja kampuni ya Tanganyika Wattle (Tanwat) ya
mkoani Njombe ambapo watoto hao wamesema kuwa msaada huo utawasaida kuwaondoa
na matatizo ya kutazama kwa shida wanapo soma ubaoni na wakiwa wanajisomea.

Mmoja wa watoto hao ambaye anauoni hafifu Julius Liwali,
alisema kuwa msaada huo utakuwa mi msaada mkubwa katika masomo yao na
unawaongezea kiwango cha ufauru darasani kwa kuwa watakuwa wakisoma kwa
urahisi.

Alisema kuwa wadau wengine wasisite kuja shuleni kwao kutoa
misaada ambayo itakuwa ni msaada katika masomo yao na watakuwa ni wanafunzi
wengine shuleni hapo.

Rehema Nziku ambaye ana Ualbino alisema kuwa vifaa walivyo
patiwa kama stendi ya meza ambayo
itawasaidia kuwaodoa na matatizo ya kuugua mgongo na shingo wakati wanasoma
kutokana na kuinama chini sana wakati wakisoma.

Stendi ya meza, miwani, Kofia, pamoja na lensi ya kusomea
wamepatiwa wanafunzi wa shule ya msingi Kibena ambayo inahudumia watoto wenye
mahitaji maalumu kama walemvu wa macho, uoni hafifi, na albino.

Akikabidhi vifaa hivyo mkurugenzi wa tasisi ya under the
same Sun Vick Ntetema alimsema kuwa kampuni ya TANWAT imekuwa kampuni ya kwanza
Tanzania kubuni stendi za Meza kwaajili ya kusomea watoto wenye uoni hafifi
wanapokuwa Darasani.

Alisema kuwa stendi za meza 100 ni kati ya meza 500 ambazo
zinahijajika kwa kuwa sasa ambazo zinatakwenda kwa watoto wenye uoni hafifu
kanda ya ziwa huku wanafunzi wa Shule hiyo wakiwa wamekabidhiwa miza tano
kwaajili ya kujifunzia.

Hata hivyo mkurugenzi wa mawasiliano na fedha kampuni ya
TANWAT Edmund Munubi alisema kuwa
wamekuwa wakisaidia jamii inayo wazunguka na stendi hizo ni moja ya misaada
ambayo wamekuwa wakiisaidia jamii inayo wazinguka kiwanda.

from Blogger http://ift.tt/1YQQ74w
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment