DC MUHEZA AWATAKA WAZEE KUWAFICHUA VIJANA WANAOHARIBU MAISHA YA WANAFUNZI WANAOSOMA

Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza katika mdahalo wa siku ya wazee kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wazee Muheza.
Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) akizungumza neno kwenye kwenye mkutano huo. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
Mwenyekiti wa Halmasahuri ya wilaya ya Muheza akizungumza 
Afisa Ustawi wa Jamii na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri akizungumza kwenye kikao hicho.
Mwenyekiti wa Chama cha Wazee wilayani Muheza (UWAWAMU) Seif Athumani akizungumza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajati,Mhandisi Mwanasha Tumbo akifuatilia kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza.

 

Baadhi ya Wazee wilayani Muheza wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa wilaya hiyo,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo. 
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo.
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo kushoto akigawa zawadi ya sabuni kwa mmoja kati ya wazee wilayani humo wakati wa siku ya wazee dunia kiwilaya iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri wilayani humo

from Blogger http://ift.tt/2ekXhkt
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment