RC MAKALLA AKUTANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA


MKUU WA MKOA WA MBEYA AKUTANA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo asubuhi amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Kenya nchini Tanzania Hon Chirau Mwakwere . Katika mazungumzo wamekubaliana kudumisha ushirikiano na biashara. Balozi wa kenya amesema nchini Kenya kula mchele wa Mbeya ni fahari kubwa na unapendwa sana.
Mkuu wa Mkoa amemuomba balozi kuwashawishi wafanyabiashara na wawekezaji kuja Tanzania husani Mkoa wa Mbeya kuja kuwekeza na kufanya biashara

from Blogger http://ift.tt/2dWiltZ
via IFTTT


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment