MWENYEKITI ALIYEDAIWA KUJIITA MUNGU WA BONYOKWA BONYOKWA ALIVYOSHTAKIWA KWA RC MAKONDA


Mwenyekiti aliyedaiwa kujiita ‘Mungu’ wa Bonyokwa alivyoshtakiwa kwa RC Makonda

Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam, Paul Makonda ameendelea na ziara yake ambapo leo November 24 alifika kata ya Bonyokwa Ilala na akakutana na tuhuma zinazomkabili mwenyekiti wa mtaa ikiwemo kutumia jina lake na kuwatishia watendaji wengine huku akidaiwa kusema yeye ni ‘mungu’ wa Bonyokwa. Baada ya kuwasikiliza wajumbe wa serikali ya mtaa, RC Makonda aliagiza kukamatwa kwa mwenyekiti huyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment